WAKAZI WA ZANZIBAR WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO UTEKELEZAJI MIRADI YA KUWAREJESHA SHULENI WATOTO WALIOFIKA UMRI

PICHA NO.903 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kutoa ushirikiano juu ya utekelezaji wa mradi wa kuwarejesha skuli  watoto  waliofikia umri ili kuwawezesha kupata elemu bora itakayosaidia kuwajengea mustkbali wa maisha yao ya baadae. Rais Dk. Mwinyi alieleza hayo katika hotuba iliyosomwa kwa niaba yake